LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 10, 2022

TARIMBA AISHAURI SERIKALI KUIFUMUA TANESCO+video

Mbunge wa Kinondoni, Raimba Abbas amesishauri Seikali bungeni leo Februari 10, 2022 kuifumua Tanesco ili kuboresha uzalishaji kwa kuunda kampuni tatu tofauti za uzalishaji usafirishaji na usambazaji. Ametoa ushauri huo wakati wa kipindi cha swali na majibu kwa Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa wakati wa kipindi cha maswali kwa Waziri Mkuu.,

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages