Naibu Waziri wa Kilimo, Anthony Mavunde akijibu swali wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni.
Mwenyekiti wa Bunge, David Kihenzile akiongoza kikao cha bunge leo.
Mbunge wa Viti Maalumu, Shally Raymond akiuliza swali wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni.
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe akitoa majibu kuhusu kuendeleleza kilimo cha parachichi kwa serikali kwa kuandaa mpango wa kutoa ruzuku kwenye miche ili wakulima waipate kwa bei nafuu.
Mnadhimu Mkuu wa Serikali Bungeni, Balozi Dkt Pindi Chana akijadiliana jambo na Waziri wa Nishati, January Makamba.
Mbunge wa Iringa Mjini,Joyce Msambatavangu (kulia) akijadiliana jambo na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa, Dkt Rita Kabati.
Mbunge wa Segerea, Bonnah Kamoli akijadiliana jambo na Mbunge wa Viti Maalumu, Lucy Mayenga
Naibu Waziri wa Maji, Maryprisca Mahundi akijibu maswali kutoka kwa wabunge.
Mbunge wa Momba, Condester Sichwale akiuliza swali kwa Wizara ya Maji kuhusu matatizo ya maji katika shule mbalimbali jimboni humo na kwamba changamoto hiyo itatauliwa lini.
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇