LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 2, 2022

CHONGOLO, SEKRETARIETI WAWASILI MKOANI MARA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo amewasili mkoani Mara kwa ziara ya siku moja akiwa ameongozana na Wajumbe wa  Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na kupokelewa na Viongozi wa Chama na Serikali katika eneo la Nyatwali, Bunda mkoani Mara.PICHA NA MAKAO MAKUU YA CCM







 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages