LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 7, 2022

MAKAMU WA RAIS DK. MPANGO ATETA NA RAIS WA BENKI YA AfDB MJINI ADDIS ABABA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Mpango akizungumza jambo na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dk. Akinwumi Adesina, katika ukumbi wa Mkutano wa 35 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika unaofanyika Addis Ababa, Ethiopia jana, Februari 6,  2022

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages