LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 7, 2022

TAWLA, TANCDA YAWAPIGA MSASA WABUNGE MAPAMBANO DHIDI YA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA+video

 Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi, Fatma Hassan Toufiq akitoa shukrani kwa Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA)  na Shirikisho la Vyama vya Magonjwa Yasiyoambukiza (TANCDA) kwa kuwapatia mafunzo kuhusu aina mbalimbali ya kupambana na magonjwa yasiyoambukiza yaliyofanyika  Februari 5, 2022  katika kumbi  za Bunge jijini Dodoma.
Mbunge wa Viti Maalumu Ester Bulaya   akitoa ushauri wakati wa warsha hiyo.
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi wakiwa katika warsha hiyo.

Wabunge wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI, wakifuatilia mafunzo hayo.


Profesa KaushikRamaiya akiendesha mafunzo hayo na kuwataka watu wawe wanafanya mazoezi  kuepukana na magonjwa ya kuambukiza.
Baadhi ya maafisa kutoa TAWLA na TANCDA

 PICHA YOTE NA RICHARD MWAIKENDA

Mdau endelea kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI, Toufiq na Mwanasheria wa Tawla , Yosia Kimweri wakielezea  jinsi ya kuepukana na magonjwa hayo....

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages