LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 23, 2022

MABALOZI WA SOUD ARABIA NA KENYA WAMEKUTANA NA RAIS WA ZANZIBAR DK.HUSSEIN ALI MWINYI LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Balozi wa Ufalme wa Saudi Arabia nchini Tanzania Mhe.Abdulla Bin ALI Alsheryan  wakati alipofika Kujitambulisha leo, Ikulu Jijini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza  mgeni wake Balozi wa Ufalme wa Saudi Arabia nchini Tanzania Mhe.Abdulla Bin ALI Alsheryan  wakati wa mazungumzo yao leo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kujitambulisha.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na mgeni wake Balozi wa Jamhuri ya Kenya  nchini Tanzania Mhe. Dan Kazungu   wakati alipofika leo Ikulu Jijini Zanzibar, Kumuaga Rais baada ya kumaliza muada wake wa kazi nchini  .

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na mgeni wake Balozi wa Jamhuri ya Kenya  nchini Tanzania Mhe. Dan Kazungu   wakati alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo kumuaga Rais baada ya mazungumzo yao.[Picha na Ikulu

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages