UJENZI wa Barabara 16 unaendeleo katika kata mbalimbali jimboni Musoma Vijijini kutokana na vyanzo mbalimbali vya fedha.
Taarifa ya ujenzi huo zimetolewa hivi karibuni na Wakala wa Barabara Mijini na Vijijini (TARURA) kwa kushirikiana na Ofisi ya Mbunge wa Jimbo hilo.
A - FEDHA ZA BAJETI YA MAENDELEO (ROAD FUND DEVELOPMENT BUDGET) 2021/2022
(1) Mkirira - Kwangwa Hospital (Gharama: Tsh Milioni 350). Limekamilika kwa 90%
(2) Bukima-Bulinga- Bwasi (Gharama: Tsh Milioni 300). Ujenzi umekamilika
B - Fedha za Jimbo
Masinono - Kinyang'erere (Gharama: Tsh Milioni 500). Likiwemo Daraja la Jitirola na mengine mawili. Hatua za kumpata Mkandarasi zinakamilishwa
C - FEDHA ZA TOZO
(Jumla: Tsh bilioni 2)
Barabara zinazojengwa na utekelezaji umeanza:
(1) Mmahare-Etaro-Nyasaungu
(2) Mugango-Bwai Kwitururu- Kwikuba
(3) Bwai Kwitururu- Bwai Kumsoma
(4) Maneke-Mayani- Kyawazaru
(5) Nyaminya-Kataryo- Kyawazaru
(6) Rwanga-Seka-Mikuyu
(7) Saragana- Nyambono- Chumwi
(8) Kaburabura-Masinono-Bugwema
(9) Bukima-Bulinga- Bwasi
(10) Busekera-Burungu
(11) Chitare-Kurugee-Buraga (Kivukoni)
(12) Kome - Buira
(13) Kigera Etuma-Ekungu
(14) Nyakatende-Kamguruk- Kigera Etuma
(15) Mkirira-Nyegina-Esira
(16) Kurukerege-Nyegina
TAARIFA kutoka:
*Ofisi ya TARURA (W)
*Ofisi ya Mbunge
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇