Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizindua Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere leo Tarehe 23/02/2022 Kibaha mkoani Pwani.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikata utepe baada ya kuzindua Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere leo Tarehe 23/02/2022 Kibaha mkoani Pwani.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇