LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 24, 2022

PROF. MAKUBI AIPONGEZA VETA KUUNDA MASHINE ZA KUCHANGANYA CHUMVI NA MADINI JOTO+video

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Profesa Abel Makubi ameipongeza Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) kuunda mashine tano za kuchanganya chumvi na madini joto alizozikabidhi kwa Katibu Mkuu wa TAMISEMI katika hafla iliyofanyika jijini Dodoma leo Februari 24, 2022.

Pichani Prof. Makubi na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Carolyn Nombo wakikata utepe ikiwa ni ishara ya kuzindua mashine hizo.

Profesa Makubi akimkabidhi Katibu Mkuu wa Tamisemi, Dkt Riziki Shemdoe nyaraka za mashine hizo.
Mkurugenzi wa Jiji la Tanga, Zipora (kushoto) akikabidhiwa nyaraka za moja kati ya mashine tano.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Mwanasha Tumbo (kulia) akimkabidhi hati za mashine Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Mkuranga.
Profesa Makubi akihutubia wakati wa hafla hiyo.
Mashine 5 za kuchanganya chumvi na madini joto zilizoundwa na VETA kwa ghara ya sh. mil 55.
Baadhi ya wadau wa chumvi wakiwa katika hafla hiyo.





 PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Dkt Makubi na viongozi wengine wakitoa pongezi hizo kwa VETA....

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages