Mbunge wa Nzega Vijijini, Hamis Kigwangala akikabidhiwa fomu ya kuomba kuwania nafasi ya Unaibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Makao Makuu ya CCM, jijini Dar es Salaam leo Februari 5, 2022. Anayemkabidhi ni Ofisa wa Idara ya Oganaizesheni CCM Makao Makuu ya CCM, Zuhura Hassan.
Akilipa fedha malipo ya kulipia fomu hizo za maombi.
Kigwangala akizungumza na vyombo vya habari kuelezea nia yake ya kugombea nafasi hiyo.
Akionesha fomu mbele ya wanahabari
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Dkt. Kigwangala akielezea nia ya kuwania nafasi hiyo nyeti...
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇