LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 5, 2022

MAKAMU WA RAIS DK. MPANGO ASHIRIKI UFUNGUZI WA MKUTANO WA AU MJINI ADDIS ABABA, ETHIOPIA

 




Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Mpango leo ameshiriki ufunguzi wa Mkutano wa 35 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) unaofanyika Addis Ababa, Ethiopia. Mkutano huo umebeba kauli mbiu isemayo “Kuimarisha Lishe na Usalama wa Chakula barani Afrika: Kuongeza kasi ya Uzalishaji katika Kilimo,Maendeleo ya Rasilimali Watu na Maendeleo Endelevu ya Kiuchumi na Kijamii” .

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages