Waziri wa Nchi , Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Innocent Bashungwa ametoa taarifa ya ukusanyaji wa mapato ya ndani ya Halmashauri kwa kipindi cha nusu mwaka wa fedha 2021/2022 leo Januari 28 katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dodoma.
Baadhi ya watendaji wa Tamisemi.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Waziri Banshungwa akitoa taarifa hiyo...IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇