LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 28, 2022

RAIS SAMIA SULUHU AFANYA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MOJA NCHINI MSUMBIJI.

 




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Rais Philipe Nyusi wa Msumbiji alipowasili katika uwanja wa ndege wa Pemba nchini Msumbiji kwa ajili ya ziara  ya kikazi ya siku moja Nchini humo leo tarehe 28 Januari 2022 Nchini humo. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa na Mwenyeji wake Rais Philipe Nyusi wa Msumbiji alipowasili  katika uwanja wa ndege wa Pemba nchini Msumbiji kwa ajili ya ziara  ya kikazi ya siku moja Nchini humo leo tarehe 28 Januari 2022 Nchini humo.. 

Rais Philipe Nyusi wa Msumbiji akimtambulisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa Viongozi mbalimbali wa Serikali ya Msumbiji alipowasili  katika Uwanja wa ndege wa Pemba nchini Msumbiji kwa ajili ya ziara  ya kikazi ya siku moja Nchini humo leo tarehe 28 Januari 2022 Nchini humo. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangalia Kikundi cha ngoma ya asili ya Msumbiji alipowasili  katika uwanja wa ndege wa Pemba nchini Msumbiji kwa ajili ya ziara  ya kikazi ya siku moja Nchini humo leo tarehe 28 Januari 2022 Nchini humo. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na  Rais Philipe Nyusi wa Msumbiji alipowasili katika mji wa Pemba Nchini Msumbiji  kwa ajili ya ziara  ya kikazi ya siku moja Nchini humo leo tarehe 28 Januari 2022 Nchini humo. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisindikizwa na Mwenyeji wake Rais Philipe Nyusi wa Msumbiji alipokua akiondoka katika Uwanja wa ndege wa Pemba nchini Msumbiji baada ya kukamilisha ziara  yake ya kikazi ya siku moja Nchini humo leo tarehe 28 Januari 2022 Nchini humo. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na  Vyombo mbalimbali vya Habari Nchini Msumbiji kufuatia ziara yake ya kikazi ya siku moja nchini humo leo tarehe 28 Januari 2022. Kulia ni Rais Philipe Nyusi wa Msumbiji.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages