Baadhi ya wakufunzi wakiimba wimbo wa hamasa wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa uelewa kuhusu mabadiliko ya Tabianchi yanayoendeshwa na Chama cha Skauti wa Kike cha Tanzania Girl Guides Association (TGGA) pamoja na chama cha Skauti wa Kike Duniani (WAGGGS) jijini Dar es Salaam. TGGA imeamua kumuunga mkono Mlezi wao Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan katika mapambano dhidi ya mabadiliko ya Tabianchi.
Mkufunzi kutoka Kigambonbi, Dar es Salaam, Rose Goima akijibu swali wakati wa mafunzo hayo.
Baashi ya wakufunzi wakiwa makini kusikiliza wakati wa mafunzo hayo.
Alice Kestell Mkufunzi wa kujitolea kutoka WAGGGS akiendesha mafunzo kwa vitendo.
Valentina Gonza wa TGGA akiendesha mafunzo
Germaine Umuraza kutoka Rwanda akijibu swali wakati wa mafunzo hayo.
Wakiwa katika mafunzo kwa vitendo.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Katibu Mkuu wa TGGA, Wintapa na wakufunzi wakielezea umuhimu wa mafunzo hayo katika mapambano dhidi ya mabadiliko ya Tabianchi ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono juhudi za Mlezi wao Rais Samia.....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDAMHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇