LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 26, 2022

WAFANYABIASHARA SOKO LA KARUME MCHIKICHINI DAR ES SALAAM WAMPONGEZA RAIS SAMIA

Kurudi katika Soko la Mchikichini hapa Karume hakika tunampongeza Rais Mama Samia pamoja na Viongozi wenzake kwa kuamua kurudi kuendelea na Biahara zetu na tunamuahidi ndani ya siku tatu soko litakuwa limekwisha kwa asilimia 99. 

Hayo yamesemwa na Mfanya Biasha katika Soko hilo leo Januari 25, 2022, majira ya saa 5 Usiku aliyejitambulisha kwa jina la Ally Mwalimu (pichani hayupo) na kutoa pongezi kwa Rais kwa niaba ya wafanya Biashara wote wa Soko hilo la Karume  












 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages