Waziri wa Madini, Doto Biteko, akisalimiana na wanachama wa Chama cha Wanawake Wachimba Madini nchini (TAWOMA), baada ya kuwasili kwa ajili ya kufungua mkutano wao unaofanyika jijini Dodoma. Picha na Deus Mhagale
Waziri wa Madini, Doto Biteko,akiangalia madini yaliyoongezwa thamani katika banda la wanachama wa TAWOMA |
Katibu Mtendaji wa Chama hicho Salma Ernest, akitoa maelezo ya chama hicho kabla ya Waziri kufungua
Wanachama wa chama hicho wakimsikiliza kwa makini Waziri alipokuwa akifungua mkutano wao
Baadhi ya wabunge wanaotoka katika mikoa inayochimbwa madini wakiwa katika mkutano huo
Wasanii wa Mwinamila wakitoa biridani katika viwanja vya mkutano huo.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇