Jan 12, 2022

RAIS SAMIA AHUDHURIA SHEREHE ZA MIAKA 58 YA MAPINDUZI ZANZIBAR, AWASILI JIJINI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akipokea heshima ya Wimbo wa Taifa  uliopigwa baada ya kuwasili katika Uwanja wa Amani Zanzibar kwa ajili ya kuhudhuria Madhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika Januari 12, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Othman Masoud, alipowasili katika Uwanja wa Amani Zanzibar kwa ajili ya kuhudhuria Madhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi mbalimbali alipowasili katika Uwanja wa Amani Zanzibar kwa ajili ya kuhudhuria Madhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa ndege wa Dodoma alipokua akitokea Zanzibar, alikohudhuria Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanziba leo. (Picha na Ikulu).

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages