Jan 12, 2022

RAIS SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA ALIYEKUWA SPIKA WA BUNGE JOB NDUGAI, IKULU JIJINI DODOMA, LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akiwa na  aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai (Mb) baada ya kukutana na kufanya mazungumzo Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma, leo (Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages