Dar es Salaam
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri huku akiingiza sura mpya wakiwemo Nape Nnauye na Ridhiwani Kikwete.
Akitangaza mabadiliko hayo leo Jumamosi Januari 8, 2022, Ikulu jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Hussein Kattanga amesema Rais amefanya mabadiliko ya muundo katika wizara tatu.
Balozi Kattanga amesema Rais Samia amefanya mabadiliko hayo ikiwa anatimiza ahadi yake ya kufanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri.
Kulingana na taarifa hiyo ya Ikulu, Baraza hilo ni kama ifuatavyo;
Ofisi ya Rais Ikulu
Waziri wa Nchi Kazi Maalum – Kapeni Geroge Mkuchika
Waziri wa Utumishi – Jenista Mhagama
Naibu Waziri Utumishi – Deogratius John Ndejembi
TAMISEMI
Waziri – Innocent Bashungwa
Naibu Waziri – David Silinde
Naibu Waziri – Dugange
Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira
Waziri – Suleimani Jafo
Naibu Waziri – Hamis Hamis
Wizara ya Kazi Ajira
Waziri – Joyce Ndalichako
Naibu Waziri – Patrobas Katambi
Wizara ya Fedha
Waziri – Mwigulu Nchemba
Naibu Waziri – Chande
Wizara ya Ulinzi
Waziri – Stergomena Tax
Wizara ya Sheria na Katiba
Waziri – George Simbachawene
Naibu Waziri – Godfrey Mizengo Pinda
Wizara ya Kilimo
Waziri – Hussein Bashe
Naibu Waziri – Anthony Mavunde
Wizara ya Uvuvi
Waziri – Mashimba Ndaki
Naibu Waziri – Abdallah Ulega
Wizara ya Ardhi
Waziri – Angelina Mabula
Naibu Waziri – Ridhiwani Kikwete.
Habari na Mawasiliano
Waziri- Nape Nnauye
Naibu- Kundo Mathew
Ujenzi
Waziri- Mbarawa
Naibu- Atupele Mwakibete
Viwanda
Waziri-Kijaji
Naibu-Kigahe
Afya
Waziri=Ummy Mwalimu
Naibu- Ole Mollel
Elimu
Waziri-Mkenda
Naibu-Kipanga
Maendeleo ya kamii
Waziri- Gwajima Dorothy
Naibu- Mwanaidi Hamis
Maji
Waziri- Jumaa aweso
Naibu- Mahundi
Utamaduni
Waziri-Mchengerwa
Naibu-Gekul
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇