Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania,Macrice Mbodo (kulia) akimkabidhi yawadi ya shajala Msajili wa Hazina, Mgonya Benedicto ambaye alikuwa mgeni rasmi wakati wa kufunga Baraza Kuu la Wafanyakazi wa shirika hilo leo Januari 28, 2022 jijini Dodoma.
Mkurugenzi Msaidizi, Elisa Mbise ambaye alimwakilisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, akifafanua jambo kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Msajili wa Hazina, Mgonya Benedicto kufunga baraza hilo.
Baadhi ya wajumbe wa baraza hilo wakisikiliza wakati Msajili wa Hazina, Benedicto akihutubia wakati wa kufunga baraza hilo.
Mgeni rasmi, Msajili wa Hazina, Benedicto akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa baraza baada ya kufunga baraza hilo.
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, ujue yalizojiri wakati wa kufunga baraza hilo....
IMEANDA LIWA NA RICHARD MWAIKENDA
Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇