Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs C. Mwambegele (Kushoto), akizungumza na Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,Bunge na Uratibu, Mhe.Balozi Dkt. Pindi Chana (Kushoto) wakati Waziri huyo alipotembelea ofisi za Tume ya Taifa kwa ziara ya kikazi jijini Dodoma Januari 27,2022.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs C. Mwambegele (Kushoto), akiwa na wageni wake Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,Bunge na Uratibu, Mhe.Balozi Dkt. Pindi Chana (Kulia) na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Ummy Nderiananga (anayetia saini katika kitabu cha wageni) mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Tume ya Taifa ya uchaguzi Tarehe 27 Januari 2022. Wa pili kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt.Wilson CharlMahera.
Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt.Wilson Charles Mahera( Kulia), akizungumza na Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,Bunge na Uratibu, Mhe.Balozi Dkt. Pindi Chana (katikati) na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Mhe. Ummy Nderiananga walipotembelea Makao makuu ya ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi Njedengwa jijini Dodoma tarehe 27 Januari 2022.
Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,Bunge na Uratibu, Mhe.Balozi Dkt. Pindi Chana (Kulia) akizungumza na Menejimenti na Watumishi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi tarehe 27 Januari 2022 mara baada ya kutembelea ofisi hizo zilizopo Ndejengwa Jijini Dodoma.
Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt.Wilson Charles Mahera (Kushoto) akifafanua jambo kwa Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,Bunge na Uratibu, Mhe.Balozi Dkt. Pindi Chana (wa pili kutoka kushoto) na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Ummy Nderiananga (wa pili kutoka kulia) wakati wa ziara yao katika makao makuu ya ofisi za Tume ya Taifa ya uchaguzi.
Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt.Wilson Charles Mahera (Kulia) akizungumza na Menejimenti na Watumishi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi wakati wa ziara ya Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,Bunge na Uratibu, Mhe.Balozi Dkt. Pindi Chana tarehe 27 Januari, 2022.
Your Ad Spot
Jan 28, 2022
WAZIRI PINDI CHANA ATEMBELEA OFISI ZA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI
Tags
featured#
Habari#
Share This
About Author CCM Blog
Habari
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇