Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsaidia kubeba maji Paulina Longani wakati alopoweka jiwe la msingi la mradi wa Maji wa Mogitu - Katesh wilayani Hanang akiwa katika ziara ya mkoa wa Manyara, Januari 23, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishika maji wakati alipoweka jiwe la Msingi la Mradi wa Maji wa Mogitu-Katesh wilayani Hanag akiwa katika ziara ya Mkoa wa Manyara, Januari 23, 2022. Kushoto ni Waziri wa Maji, Juma Aweso. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇