LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 20, 2022

MWENYEKITI WA CCM RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM, LEO JIJINI DODOMA

 

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalumu cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika leo tarehe 20 Januari, 2022 katika ukumbi wa Halmashauri Kuu CCM White House Jijini Dodoma.Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Visiwani, Dkt Mohammed Ali Shein.
Akilakiwa na Katibu Mkuu, Daniel Chongolo.
Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu kilichofanyika leo katika Ukumbi wa White House

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages