LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 11, 2022

ASKOFU CHANDE: WATANZANIA TUSIMCHANGANYE RAIS SAMIA+video

 Askofu Dkt Evance Chande amewataka watanzania wasimchanganye Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan bali wawe na umoja na kuungana kumuombea aliongoze Taifa kwa amani na utulivu.

Askofu Dkt. Chande ameyasema hayo alipokuwa akihubiri kanisani kwake Ipagala, Dodoma, wakati wa ibada ya kuukaribisha mwaka mpya 2022.

Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Askofu Chande akielezea watan zania kumuunga mkono Rais Samia...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages