LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 11, 2022

MWENYEKITI WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI AKABIDHIWA OFISI

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Casthom Mwambegele leo amekabidhiwa ofisi na Mwenyekiti Mstaafu wa Tume Jaji Rufaa (Mst) Mhe. Semistocles Kaijage. Hafla hiyo fupi imefanyika katika Ukumbi wa Mikutano uliopo katika Ofisi za Tume, Njedengwa Jijini Dodoma na kuhudhuriwa na Wajumbe, Menejimenti na Watumishi wa Tume.

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages