LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 11, 2022

WENGI CCM WAZIDI KUJITOKEZA KUCHUKUA FOMU ZA KUOMBA KUWANIA USPIKA

Mbunge wa Ilala, Mussa Azan Zungu akikabidhiwa fomu ya kuwania uspika katika Makao Makuu ya CCM Dodoma leo.
Mbunge wa Tabora Mjini, Emmanuel Mwakasaka akifurahia kuchukua fomu ya kuwania Uspika Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma.
Mtumishi wa Serikali mwenye digrii 9 Prof. Handley Mpoki Mafwenga akiwa na fomu baada ya kuchukua tayari kuomba ridhaa kugombea nafasi ya uspika katika Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages