Rais Samia Suluhu Hassan, akishuhudia utiaji Saini Mkataba wa Mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha Makutupora (Singida) hadi Tabora chenye urefu wa Kilometa 368 katika kipande cha tatu cha mradi huo (Lot III). Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu Shirika la Reli nchini (TRC) Masanja Kadogosa akiweka saini moja ya Kitabu cha Mkataba huo pamoja na Makamu Mwenyekiti wa Kampuni ya Yapi Merkez ya Uturuki Erdem Arioglu katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo Disemba 28, 2021.
Rais Samia Suluhu Hassan, akizungumza baada ya kushuhudia utiaji Saini Mkataba wa Mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha Makutupora (Singida) hadi Tabora chenye urefu wa Kilometa 368 katika kipande cha tatu cha mradi huo (Lot III), Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo Disemba 28, 2021.
Viongozi mbalimbali wakimsikiliza Rais Samia Suluhu Hassan, akizungumza baada ya kushuhudia utiaji Saini Mkataba wa Mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha Makutupora (Singida) hadi Tabora chenye urefu wa Kilometa 368 katika kipande cha tatu cha mradi huo (Lot III), Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo Disemba 28, 2021. Aliyevaa sare ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka. (Picha zote na Ikulu)
Your Ad Spot
Dec 28, 2021
Home
featured
Kitaifa
RAIS SAMIA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA SGR MAKUTUPORA-TABORA, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM, LEO
RAIS SAMIA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA SGR MAKUTUPORA-TABORA, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM, LEO
Tags
featured#
Kitaifa#
Share This
About CCM Blog
Kitaifa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇