LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 12, 2021

RAIS SAMIA AFUNGA MAFUNZO WARAKIBU WASAIDIZI WA POLISI (ASP) KATIKA CHUO CHA POLISI, KURASINI JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akikabidhi Cheti cha Heshima kwa Mhitimu wa aliyefanya vizuri katika nidhamu PF 17874 ASP Ally Juma Mwapumba ambaye ni kati ya , katika mahafali ya wahitimu wa Mafunzo ya Maofisa Wanafunzi wapya wa mafunzo ya Uofisa Kozi No. 1/2021, yaliyofanyika leo Desemba 12, 2021, katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Kurasini Jijini Dar es Salaam. Katikati ni Inspekta Jenereli wa Polisi Simon Sirro.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akikagua Gwaride Maalum la Maofisa Wapya waliohitimu mafunzo ya Uofisa Kozi No. 1/2021, katika Mahafali ya kufunga kozi hiyo yaliyofanyika leo Disemba 12,  2021, katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Kurasini Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akihutubia Maofisa Wapya waliohitimu mafunzo ya Uofisa Kozi No. 1/2021, katika Mahafali ya kufunga kozi hiyo yaliyofanyika leo Disemba 12,  2021, katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Kurasini Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Maofisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi nchini na Wageni Waalikwa wakiwa kwenye Mahafali hayo.

Baadhi ya Maofisa Waandamizi wa jeshi la Polisi nchini na Wageni Waalikwa wakiwa kwenye Mahafali hayo.

 ©2021 CCM Blog/Bashir Nkoromo

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages