LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 1, 2021

WIZARA YA FEDHA YAWAPIGA MSASA WAHARIRI KUHUSU UELEWA MASUALA YA FEDHA+video

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Emmanuel Tutuba akizungumza alipokuwa akifungua kikao na wahariri wa vyombo vya habari kwa ajili ya kuwajengea uwezo kuhusu masuala ya fedha na maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa yatakayofanyika jijini Dar es Salaam.Kikao hicho kimefanyika leo ukumbi wa wizara hiyo, jijini Dodoma.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Wizara ya Fedha na Mipango, Benny Mwaipaja akielezea utaratibu wa kikao hicho.
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) akizungumza kabla ya kuanza mafunzo hayo.


Baadhi ya wahariri wakiwa katika kikao hicho








 PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip ya video hapa chini, Katibu Mkuu wa Wizara,Tutupa akizungumza kuhusu umuhimu wa kikao hicho na mwakilishi wa wahariri Benny Mwang'onda akitoa shukrani...

Imeandaliwa na Richard Mwaikenda
 Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages