Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu) katika mkutano na vyombo vya habari kuhusu maandalizi ya maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara yatakayofikia kilele Desemba 9, 2021.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, anayeshughulikia Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi, Dkt Khalid Salum Mohamed, akielezea jinsi Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ilivyoshirikishwa na katika maandalizi ya maadhimisho hayo.
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika mkutano huo.
Baadhi ya maafisa wa serikali.
Baadhi ya maafisa wa serikali na wanahabari wakiwa katika mkutano huo.
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Waziri Mhagama akielezea kuhusu maandalizi hayo, Dkt Khalid wa Zanzibar akielezea jinsi walivyoshirikishw, pamoja na Mkurugenzi wa Idara ya Habari, Maelezo, Gerson Msigwa akitaja baadhi ya wizara zitakazoanza kuelezea mafanikio waliyopata yanayoonesha dhahiri maendeleo ya miaka 60 ya Uhuru....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇