LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 1, 2021

CWT YAMPONGEZA RAIS SAMIA KWA UJENZI WA VYUMBA 18,000 VYA MADARASA +video

 CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT) kimeipongeza Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kutenga sehemu ya fedha za afua ya UVIKO 19 kujenga vyumba vya madarasa 18,000 katika shule za msingi na sekondari nchini.

Pongezi hizo zimetolewa na Katibu Mkuu wa CWT, Deus Seifu katika mkutano na waandishi wa habari alipokuwa akitangaza maadhimisho ya miaka 28 ya chama hicho katika hafla iliyofanyika Makao Makuu ya chama hicho jijijini Dodoma. Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video hapa chini, Katibu Mkuu Seifu akitoa pongezi hizo na Kaimu Rais wa CWT, Dinah Masamani akitoa yamoyoni kuhusu Bima ya Maisha kwa Walimu,


Imeandaliwa na Richard Mwaikenda
 Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages