LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 1, 2021

RAIS SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA MJUMBE MAALUM WA WAZIRI MKUU WA UINGEREZA MJINI GLASGOW, SCOTLAND

Rais Samia Suluhu Hassana kiwa na Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza katika masuala ya Biashara kati ya Tanzania na Uingereza Lord Walney, baada ya kuzungumza naye katika mji wa Glasgow, Scotland jana, Oktoba 31, 2021. Rais Samia yupo Glasgow kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa utakaojadili athari za mabadiliko ya tabianchi (COP 26). Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki  Liberatha Mulamula na kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Uingereza  Dk. Asha Rose Migiro.
Rais Samia Suluhu Hassana alipokuwa akisalimiana na Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza katika masuala ya Biashara kati ya Tanzania na Uingereza Lord Walney, Glasgow, Scotland jana Oktoba 31, 2021.
Rais Samia Suluhu Hassana kiwa katika mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza katika masuala ya Biashara kati ya Tanzania na Uingereza Lord Walney, katika mji wa Glasgow, Scotland jana, Oktoba 31, 2021. Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki  Liberatha Mulamula na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza  Dk. Asha Rose Migiro. (Picha na Ikulu).

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages