LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 2, 2021

MWANASHERIA MKUU, WABUNGE WAAPISHWA BUNGENI DODOMA LEO

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Eliezar Feleshi akila kiapo cha uaminifu mbele ya Spika wa Bunge, Bungeni Dodoma 

 

Baadhi ya wabunge wakimsindikiza  Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Feleshi kwenda kuapishwa.
Mbunge mpya wa Jimbo la Konde Pemba, Mohammed Salum Issa akila kiapo cha utiifu bungeni Dodoma.

Mbunge mpya wa Ushetu, Emmanuel Charahani 

akila kiapo cha uaminifu mbele ya Spika wa Bunge, Bungeni Dodoma 

Baadhi ya wabunge wakimsindikiza Charahani kwenda kuapa


 

PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA





No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages