LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 24, 2021

WAZIRI NDALICHAKO APIGA MARUFUKU MICHANGO YA MITIHANI SHULENI+video

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dodoma leo Novemba 24,2021, kuelezea tulipotoka, tulipo na tuendako, changamoto na mafanikio ya sekta ya elimu katika maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika.

Pamoja na mambo mengine, Waziri Ndalichako amepiga marufuku walimu kuwachangisha wanafunzi michango ya kulipia mitihani na kwamba watakao kiuka watachukuliwa hatua kali.

Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari-MAELEZO, Zamaradi Kawawa akitangaza kuanza kwa mkutano huo.
Waandishi wa habari wakiwa katika mkutano huo

Mwandishi wa habari wa gazeti la Mwananchi, Sharon Sauwa akiuliza swali wakati wa mkutano huo.


 





Maafisa habari wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Oliver Katto (kushoto) na Ipyana Mwaipaja wakijadiliana jambo wakati wa mkutano huo.




Waziri Ndalichako akiondoka kwa furaha baada ya kumalizika kwa mkutano huo.

PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Ndalichako akielezea marufuku hiyo....


 

Imeandaliwa na Richard Mwaikenda 
Mhariri Blog ya Taifa ya CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages