LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 24, 2021

NAIBU KATIBU MKUU WA CCM BARA CHRISTINA MNDEME ALIPOKUWA AKIPIGA KAZI KALIUA

Naibu  Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)  Christina Mndeme akiendesha mtambo wa kushindilia kifusi katika ujenzi  wa Barabara ya lami katika Wilaya ya Kaliua mkoani  Tabora, alipokagua ujenzi wa Barabara hiyo, juzi. 
Naibu  Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)  Christina Mndeme akikagua ujenzi  wa Barabara ya lami katika Wilaya us Kaliua mkoani  Tabora, juzi. 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages