LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 21, 2021

WAZIRI LUKUVI AELEZA SERIKALI ILIVYOPIGA HATUA KUBWA UTATUZI WA MIGOGORO YA ARDHI NCHINI+video


WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dodoma leo Novemba 21,2021, ambapo ameelezea tulikotoka, tulipo na tunakoelekea zikiwemo changamoto pamoja na mafanikio kwa kipindi cha miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara.
Waandishi wa habari wakiwa makini kufuatilia wakati Waziri Lukuvi akielezea changamoto na mafanikio ya wizara hiyo...







 PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Waziri Lukuvi pamoja na mambo mengine akielezea jinsi serikali ilivyopata mafanikio makubwa katika utatuzi wa migogoro ya ardhi nchini....

Imeandaliwa na Richard Mwaikenda 
Mhariri wa Blog ya Taifa ya CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages