LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 20, 2021

WAZIRI MULAMULA: TANZANIA YA 13 KWA WINGI WA JESHI ULINZI WA AMANI DUNIANI+video


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari leo Novemba 20, 2021, jijini Dodoma, ambapo pamoja mengine ameelezea uimara wa Jeshi la Tanzania katika ulinzi wa amani duniani kiasi cha kuwa Jeshi la 13 kati ya 122 Duniani.


Waziri Mulamula ni miongoni mwa mawaziri waliopata fursa ya  kuelezea changamoto na mafanikio ya tulikotoka, tulipo na tuendako kuelekea Maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara 

Waandishi wa habari ktoka vzombo mbalimbali vya habari nchini, wakiwa katika mkutano huo.

 





Waziri Mulamula akisindikizwa na Mkurugenzi Msaidisi wa Idara ya Habari-MAELEZO, Zamaradi Kawawa mara baada ya kumalizika kwa mkutano huo.

Waziri Mulamula akisalimiana na baadhi ya waandishi wa habari alipokuwa akiondoka ukumbini

PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Balozi Mulamula akielezea sifa za jeshi hilo....

Imeandaliwa na Richard Mwaikenda
 Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages