LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 10, 2021

WAZIRI AWESO ATAJA MIRADI LUKUKI YA MABILIONI INAYOENDELEA KUJENGWA NCHINI+video

Waziri wa Maji, Juma Aweso akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dodoma leo Novemba 10 kuelezea tulikotoka, tulipo na twendako zikiwemo changamoto na mafanikio tangu Tanzania ilipopata Uhuru mwaka 1961 hadi sasa ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara.

Aidha, Aweso pamoja na mambo mengine ametaja miradi lukuki ya mabilioni inayoendelea kujengwa katika mikoa mbalimbali nchini. 

Baadhi ya waandishi wa habari wakisikiliza kwa makini wakati Waziri wa Maji, Juma Aweso akielezea changamoto na mafanikio katika sekta ya majini nchini.Mkutano huo umeandaliwa na Idara ya Habari- Maelezo.




 PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Waziri Aweso, akitangaza miradi hiyo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages