LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 10, 2021

MBUNGE TADAYO: SHERIA NDOGO ZITUNGWE KUFUATA UHALISIA NA UTAFITI+video


Mbunge wa Jimbo la Mwanga, Joseph Tadayo amesema kuwa sheria ndogo zitungwe kwa kufuata uhalisia na kufanyiwa utafiti lakini pia kufuata sheria mama na Katiba. Tadayo ametoa maoni yake hayo alipokuwa akichangia taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo kuhusu Uchambuzi wa Sheria Ndogo zilizowasilishwa katika mkutano wa Tatu na wa Nne wa Bunge pamoja na Kanuni ya Uvuvi ya Mwaka 2009, bungeni Dodoma leo Novemba 10,2021.


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbunge Tadayo akichangia na mambo mengine pia....
 

Imeandaliwa na Richard Mwaikenda 
Mhariri Blog ya Taifa ya CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages