LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 10, 2021

RAIS SAMIA AANZA LEO ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TATU NCHINI MISRI

Rais Samia Suluhu Hassan akifuatana na Rais wa Misri Abdel Fattah Al Sisi kukagua gwaride maalum la Jeshi la Misri baada ya uwasili Ikulu Cairo nchini Misri leo, kwa ajili ya kuanza ziara ya Kiserikali ya siku tatu  kufuatia mwaliko wa Rais wa Abdel Fattah Al Sisi.
 
Rais Samia Suluhu Hassan, akiwatambulisha kwa Rais wa Misri Abdel Fattah Al Sisi ujumbe aliofuatana nao kwenye ziara yake ya Kiserikali ya siku tatu  chini Misri iloanza leo, baadhi yao ni Waziri wa Nishati Januari Makamba (watatu kulia)
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na mwenyeji wake Rais wa Misri Abdel Fattah Al Sisi

Rais Samia Suluhu Hassan na mwenyeji wake Rais wa Misri Abdel Fattah Al Sisi wakizungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Cairo Misri baada ya Viongozi hao kushuhudia utiaji saini Hati za makubaliano ya Elimu, Elimu ya Juu na Michezo Kati ya Tanzania na nchi hiyo

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages