LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 10, 2021

UNGUJA NA DODOMA WAPEPETANA MASHINDANO YA CRDB BANK TAIFA CUP+video

Mchezaji wa timu ya Unguja (jezi ya pinki) akichuana na mchezaji wa timu ya Mkoa wa Dodoma katika mashindano ya mpira wa kikapu ya CRDB BANK Taifa Cup kwenye viwanja vya Chinangali Park jijini Dodoma.


Mchezaji wa  timu ya Mkoa wa Dodom akijiandaa kurusha  mpira huku akizingirwa na baadhi ya wachezaji wa timu ya Unguja. katika mashindano ya Ligi ya Taifa ya Mpira wa Kikapu yanayoendelea kwenye viwanja vya Chinangali.




                                       
 Wapenzi wa mpira wa kikapu wakishuhudia pambano la timu ya Unguja kutoka Zanzibar dhidi ya timu ya Mkoa wa Dodoma.[


PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

Mdau, nakuomba uendelee kuona mtanange huo kupitia clip ya video hii hapa chini....
Imeandaliwa na Richard Mwaikenda
 Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages