LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 12, 2021

WATOTO WA MAREHEMU ALHAJI JUMA MTALE INAWAALIKA KATIKA IBADA YA DUA YA BABA YAO MZAZI


  ASSALAM ALAYKUM.

Familia ya Alhaj Sheikh Juma Ibrahim Mtale ya Kigoma waishio Dar es Salaam ina waalika katika Hadhara ya mpendwa Baba yao aliyekuwa Mdhamini wa Jumuiya ya Zawiyatu Lkadiria Tanzania, itakayo fanyika Novemba 14, 2021, Sawa na Mwezi 8 Mfungo 7, Zawiyani hapo nyumbani kwa mama mdogo Lenga (Fatuma Mtale) 

Mburahati Jijini Dar es Salaam Muda wa Saa 3:00 Asubuhi hadi Saa 9 Alasiri, Mama mdogo Lenga (Fatuma Mtale) anawakaribisha Waumini wote ndugu na Jamaa na marafiki kushiriki Ibada ya Dua ya kumrehemu Baba yao Mzazi aliye tangulia mbele ya Haki.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages