LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 12, 2021

WAZIRI MBARAWA ATANGAZA MAFANIKIO YA MTANDAO MKUBWA WA BARABARA ZA LAMI NCHINI+video

 WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dodoma leo Novemba 12, 2021, kuelezea changamoto na mafanikio ya sekta ya ujenzi na uchukuzi ndani ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara.


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Profesa Mbarawa akielezea mafanikio hayo...


Imeandaliwa na Richard Mwaikenda
 Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages