LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 13, 2021

MPAMBANO KATI YA TIMU YA IDARA YA NUSU KAPUTI NA MAGONJWA YA AKINAMAMA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI KUMENYANA LEO

 


Na Khamisi Miharo

Mratibu wa Pambano la Mpira wa Miguu baina ya Timu ya Idara ya Nusu Kaputi na Magonjwa ya Akinamama Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH). Shomari Jembamba

 akizungumza na Waandishi wa Habari jioni ya leo Novemba 12, 2021. Ofisini kwake kuhusu pambalo la Timu hizo mbili zitakazo menyana mapema Vovemba 13. Saa 2. Asubuhi katika Viwanja vya MUHAS Muhimbili; alisema


Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Mkuu wa Idara ya Magonjwa ya Akinamama na Uzazi akishirikiana na Mkuu wa Idara ya Nusu Kaputi. Dr. Mosses Mulungu kwa lengo la kudumisha udugu, kuzidi kufahamiana kwani wachezaji wote nikutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili.


alisema; Timu hizo waliwahi kushiriki katika michuano ya mpira wa Miguu Ngazi ya Taifa hivyo wanaelekea katika kujianda katika mchezo huo na kujiimarisha katika kuiweka miili yao sawa 

Wananchi wote na Waandishi wa Habari na waliokaribu na uwanja huo mnaombwa kujitokeza katika kuwashangilia na Wafanyakazi wkiw n nfsi mnaombwa kushuhudia mpmbno huo w kukata na shoka alisema Jembamba.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages