LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 13, 2021

WAZIRI MKUU MAJALIWA KUWA MGENI RASMI FAINALI ZA MPIRA WA KIKAPU ZA CRDB BANK TAIFA CUP+video

 Tully  Mwambapa, Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja akikagua timu ya mpira wa kikapu  wanawake Mkoa wa Dar es Salaam kabla ya kuanza mchezo wa robo fainali dhidi ya  timu ya Mkoa wa Dodoma katika mashindano ya CRDB BANK Taifa Cup kwenye viwanja vya Chinangali Park.


Mwambapa ametangaza kuwa kilele cha mashindano hayo Jumapili, Mgeni rasmi atakuwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.




Tully Mwambapa akikagua timu ya Mkoa wa Dodoma.

Akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa timu ya Dodoma.

Akipiga picha na waamuzi wa mchezo huo.
Mwambapa akielezea ujio wa Waziri Mkuu katika kilele cha mashindano hayo Jumapili.
Timu ya Mkoa wa Dodoma (jezi ya  pinki) ikichuana na timu ya Dar es Salaam.








Wapenzi wa mpira wa kikapu wakishuhudia mtanange huo.

 PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau, naomba uendelee kuona kupitia clip hii ya video ushuhudie mpambano huo....

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages