LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 4, 2021

RAIS SAMIA AREJEA NCHINI AKITOKEA SCOTLAND, LEO

Rais Samia Suluhu Hassan, akishuka katika  Ndege baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam leo Novemba 4, 2021 akitokea Glasgow, Scotland alikohudhuria mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa uliojadili kuhusu athari za mabadiliko ya tabianchi Duniani
Rais Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam leo Novemba 4, 2021 akitokea Glasgow, Scotland alikohudhuria mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa uliojadili kuhusu athari za mabadiliko ya tabianchi Duniani
Rais Samia Suluhu Hassan, akisindikizwa na Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam leo Novemba 4, 2021 akitokea Glasgow, Scotland alikohudhuria mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa uliojadili kuhusu athari za mabadiliko ya tabianchi Duniani (Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages