LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 4, 2021

MPANGO MKAKATI WA RASILIMALI WATU SEKTA YA AFYA WAZINDULIWA RASMI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Profesa Abel Makubi na Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Dkt Grace Magembe wakizindua Mpango Mkakati wa Rasilimali Watu katika Sekta ya Afya 2021-2026  wakati wa Mkutano wa 22 wa Wataalam wa Kutathmini Utekelezaji wa vipaumbele vya sekta ya afya kwa mwaka  2020/21 jijini Dodoma.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Profesa Abel Makubi
ambaye ni Mwenyekiti wa mkutano huo, akihutubia baada ya kuzindua mpango huo.
 
Wataalam wa sekta ya afya kutoka mikoa mbalimbali nchini wakisikiliza kwa makini wakati, Katibu Mkuu, Profesa Makubi akihutubia katika mkutano huo unaofanyika kwa siku mbili.




 PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages