LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 4, 2021

MAFUNZO KWA MAKATIBU WA CCM YAZIDI KUNOGA DODOMA+video

NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdulla Juma Mabodi (kulia) akiongoza mafunzo kwa makatibu wa CCM wa mikoa na wilaya  nchi nzima leo kwenye Ukumbi wa  Halmashauri Kuu  (White House), Makao Makuu ya CCM Jijini Dodoma. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Bara.Mafunzo hayo yalifunguliwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Philip Mangula.
Katibu Msaidizi Mkuu wa Utawala na Uendeshaji wa CCM, Wilson Mkambaku akimkaribisha NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdulla Juma Mabodi kuongoza mafunzo hayo.
Kanali mstaafu  Ngemela Lubinga katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa wa CCM, akiteta jambo na  Naibu Katibu  Mkuu Tanzania Bara, Christina Mndeme kabla kuanza mafunzo.
Hamasa ya nyimbo za CCM ikiendelea kabla ya kuanza kwa mafunzo hayo.
Makatibu wa mikoa na wilaya wa CCM wakisikiliza kwa makini mafunzo hayo yakiendelea.







 PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

Mdau, nakuomba uendelee kuona kupitia clip hii ya video mwanzo wa mafunzo hayo.... Imeandaliwa na Richard Mwaikenda
 Mhariri wa Blog ya Taifa ya CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages