LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 4, 2021

MAMBO YA BUNGENI DODOMA LEO

Mbunge wa Monduli, Freddy Lowassa akijadiliana jambo na Mbunge wa Babati Vijijini, Daniel Sillo  katika Mkutano wa Tano Kikao cha Tatu bungeni Dodoma leo Novemba 4, 2021.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt Damas Ndumbaro akijadiliana jambo na Naibu wake, Marz Masanja bungeni Dodoma.
Mbunge wa Vwawa, Japhet Hasunga akiingia bungeni Dodoma
Mbunge wa Liwale, Mohammed Kuchauka
Waziri wa Ardhi, Nzumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi akiwa viwanja vya Bunge tayari kuingia bungeni.
Mbunge wa Mbinga Vijijini, Benaya Kapinga akiwahi kuingia bungeni
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina akichangia Mapendekezo ya  Mpango wa Maendeleo wa Taifa unaokusudiwa  kutekelezwa  na Serikali kwa Mwaka 2022/2023 pamoja na Mwongozo wa  kuandaa  Mpango na Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023, bungeni Dodoma.


Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Msukuma akijadliana jambo na Mbunge wa Viti Maalumu bungeni Dodoma .
Mbunge Ida Kenani wa  Nkasi Kaskazini akichangia Mapendekezo ya  Mpango wa Maendeleo wa Taifa unaokusudiwa  kutekelezwa  na Serikali kwa Mwaka 2022/2023 pamoja na Mwongozo wa  kuandaa  Mpango na Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023, bungeni Dodoma.


Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Omar Kipanga akiingia bungeni kuwahi kikao cha tatu.
Mbunge wa Babati Vijijini, Daniel Sillo (kushoto) na Mbunge wa Sikonge, Joseph  Kakunda wakiwa viwanja vya Bunge tayari kuingia bungeni Dodoma.
Mbunge wa Viti Maalumu Juliana Shonza akiwa viwanja vya Bunge akijiandaa kuingia bungeni.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mbarouk  Nassor akiwahi kuingia  bungeni.
Mbunge wa Mwanga, Joseph Tadayo akiwahi kuingia bungeni.
Mbunge wa Longido, Dkt Stephen Kiruswa akiwahi kuingia bungeni.
Mbunge wa Viti Maalum, Ester Bulaya akiwahi kuingia bungeni Dodoma.
Wabunge wakiwa viwanja vya Bunge kuingia bungeni Dodoma.
Mbunge wa Singida Mjini,Mussa Sima



 Mbunge wa Jimbo la Njombe Mjini, Deo Mwanyika akiwa viwanja vya Bunge tayari kuingia bungeni Dodoma Mkutano wa Tano kikao cha tatu.


PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages