LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 6, 2021

RAIS DK. MWINYI KATIKA HAFLA YA MAADHIMISHO YA MWAKA MMOJA TANGU AWE RAIS, ILIYOFANYIKA, KIEMBESAMAKI MKOA WA MJINI MAGHARIBI, LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi  akitoa  hutuba yake kwa Wananchi wakati wa halfa ya kuadhimisha Mwaka mmoja tangu awe Rais wa Zanzibra, iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki mkoa wa Mjini Magharibi, 
Baadhi ya Viongozi na wananchi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi  wakati akitoa  hutuba yake kwa Wananchi wakati wa halfa ya kuadhimisha Mwaka mmoja tangu awe Rais wa Zanzibra, iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki mkoa wa Mjini Magharibi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi  na Mama Marium Mwinyi wakitazama burudani ya ngoma iliyotumbuiza katika wa halfa ya kuadhimisha Mwaka mmoja tangu awe Rais wa Zanzibra, iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki mkoa wa Mjini Magharibi. (Picha na Ikulu, Zanzibar).

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages